UTATUZI WA MIGOGORO YA ARDHI TANZANIA (LAND DISPUTES SETTLEMENT IN TANZANIA)
August 11, 2017
Pamoja na kuwapo kwa sheria za ardhi namba 4 na 5 za mwaka 1999, na sheria zinginezo zinazo shughulikia masuala ya ardhi. Bado kumekuwapo na migogoro lukuki ya ardhi miongoni mwa wananchi jambo ambalo limesababisha vurugu na hata upungufu wa amani miongoni mwao.
kwa kulitambua hilo #IDHAAYASHERIA imekuletea muongozo wa jinsi ya kutatua migogoro ya ardhi katika ngzi mbalimbali kuanzia Mabaraza ya Vijiji Hadi mahakama ya Rufani kwa mujibu wa sheria za utatuzi wa migogoro ya ardhi.
Kwamujibu Washeria vifuatavyo ni vyombo pamoja na hatua zinazo tumika kutatua migogoro ya ardhi Tanzania
REJEA
Kibonzo: Nathan Mpangala
Habari:tanzaniatoday
Chapisho: LHRC
Sheria: http://lands.go.tz
1 comments
naona umeshaanza kuapply
ReplyDelete